DIAMOND AMPIGA VIJEMBE WEMA SEPETU

Posted by Posted by Unknown On 15:37


                                
STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amemtupia vijembe mpenzi wake
Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram usiku huu akionekana kuchukizwa na tabia ya staa huyo kupenda maisha ya starehe zisizo na faida.
                                          
Diamond Platnumz.
Katika ujumbe huo, Diamond ameandika kuwa angewaona mashabiki wa mrembo huyo wana akili na mapenzi ya dhati kama wangemshauri apunguze mashoga wapenda anasa na kuacha starehe zisizo na faida na kutumia fedha kufanya mambo ya maendeleo kuliko kuvifaidisha viwanda vya kutengeneza pombe.
 
Wema Sepetu

0 comments

Post a Comment