featured-content
MWANDISHI WA MAREKANI AKATWA KICHWA
Mwandishi wa habari wa Marekani aliyekatwa kichwa, James Wright Foley (kushoto), akiwa amevishwa kanzu maalum.
Kabla
ya kuuawa kwake, Foley, aliwataka marafiki, wanafamilia wake na wapenzi
wake wote kupambana na “wauaji wangu wa kweli” ambao ni serikali ya
Marekani.
Foley
akiwa na muuaji wake ambaye alisema kitendo cha kumwadhibu mwandishi
huyo ni kulipiza kisasi mashambulizi ya ndege za Marekani nchini Iraq.
Muuaji wa Foley akijitayarisha kumkata kichwa.
Foley enzi za uhai wake hadi alipopotea Novemba 2012, baada ya kutekwa huko Taftanaz, kaskazini mwa Syria.
Mama yake Foley, Diana, na baba yake John, wakiwa katika mkesha kanisani kuwataka wapiganaji wa ISIS kuwaachia mateka wao.
Kikosi cha Kiislam cha kijeshi chenye
msimamo mkali kimeachilia video inayoonyesha mauaji ya mwandishi wa
habari mwenye asili ya Marekani, James Foley, aliyepotea tangu
alipokamatwa mateka na kushikiliwa nchini Syria miaka miwili iliyopita
na sasa ameuawa.Ikulu ya Marekani imesema inaifanyia uchunguzi wa kina video hiyo na ikithibitika kwamba mwandishi huyo wa habari ni wa taifa hilo, serikali ya Marekani itataka ufafanuzi wa kina ilikuaje na kwa nini James Foley auawe.
Posted byMr.Prime on August 20, 2014
NICKI MINAJ AACHIA ANACONDA

DEVOTA AWAKUMBUKA MZEE SMALL, KUAMBIANA
Stori: Rhoda Josiah
WAKATI wasanii mbalimbali wakijumuika pamoja katika kisomo cha kuwakumbuka
AUNTY LULU AKUBALI YAISHE!
Stori: Gladness Mallya
BAADA ya kuachwa na mpenzi
wake wa siku nyingi Bond, ambaye kwa sasa anadaiwa kuwa na uhusiano wa
kimapenzi na
MAWIFI WAITIKISA NDOA YA CATHY
Stori: Gladness Mallya
NDOA ya msanii mkongwe wa filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ ipo katika mtikisiko mkubwa kufuatia
AISHA BUI: KUSHINDA MAISHA UWE MKAKAMAVU
Stori: Mwandishi Wetu
MWIGIZAJI wa filamu anayekuja juu nchini, Aisha Bui, amesema ili kuyashinda maisha magumu Bongo, ni lazima uwe
WATOTO WAMKUMBUSHA UYATIMA NISHA
Stori: Rhoda Josiah
MWANADADA anayefanya
vizuri katika kiwanda cha filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema
ORIGINO KOMEDI WAMWAGWA!
Stori: Mwandishi Wetu
KUNDI maarufu la vichekesho ambalo kwa sasa ni kama halipo, limepata pigo kubwa baada ya
LIVE! MSANII WA BONGO FLEVA ANASWA NA MACHANGU
Stori: Muandishi Wetu
WAKATI wasanii wakitakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuenzi maadili mema kwa jamii ya Kitanzania, mambo yamekuwa kinyume, baada ya nyota wa muziki wa kizazi kipya
MNIGERIA AMPATIA MASOGANGE PASIPOTI YA SAUZI
Stori: Sifael Paul na Imelda Mtema
Habari ya mjini kwenye ulimwengu wa mastaa Bongo ni taarifa kuwa video queen maarufu, Agness Gerald ‘Masogange’ amepatiwa passport (pasipoti) ya kuishi
UTENGENEZWAJI WA VIDEO YA NICKI MINAJ ‘ANACONDA’
Rapa
bora wa kike, Onika Tanya Maraj 'Nicki Minaj' akiwa katika pozi tata na
Aubrey Drake Graham 'Drake' wakiwa katika utengenezaji wa video ya
wimbo wake ‘Anaconda’.
Jana August 18, 2014 Nicki ameshare picha nyingine
za video hiyo inayomuonesha yeye akiwa amekaa katika mtindo wa mitego
tata mbele ya Drake aliyekaa kwenye kiti.
Anaconda ni wimbo mpya unaotoka kwenye albam ya ‘The Pink Print’ na rapper huyo wa Young Money anatarajiwa kuuimba Live wakati wa utoaji wa MTV Video Music Awards, Jumapili, August 24.
Posted by Mr,Prime on August 20, 2014
Anaconda ni wimbo mpya unaotoka kwenye albam ya ‘The Pink Print’ na rapper huyo wa Young Money anatarajiwa kuuimba Live wakati wa utoaji wa MTV Video Music Awards, Jumapili, August 24.
Posted by Mr,Prime on August 20, 2014
MASTAA BONGO WALIOKUWA MARAFIKI KABLA YA USUPASTAA
Nando na Godzillah.
NANDO NA GODZILAH hawa wawili walimaliza kidato cha
sita darasa moja, wakichukua ‘combination’ moja ya HKL na wakicheza
pamoja kabumbu la shule. Darasani, madawati yao yalikuwa kwenye kona
mbili za darasa.
Lord eyes na G-nako.
Kuimba, mpira na maisha ya kwenye televisheni yamekuja tu kutokana na
juhudi binafsi. Mpaka leo hawa ni washkaji wa nguvu, wafuate kwenye
mitandao ya kijamii ujionee. Godzila anapatikana katika FACEBOOK King
Zillah na twitter @King_Zillah....Arme Nando @Ammy Nando kwenye facebook
na @Nandouraccount twitter.MPOKI NA JOTI, hawa nao hawaachani. Tokea enzi zile za mchezo wa Fukuto ulioonyeshwa kwenye runinga kipindi cha maigizo yalipoanza kushamiri. Hawa ni haki yao kuwa matajiri wa leo, kwani urafiki wao na kazi zao zimekubaliwa na kuzidi kukubalika kutokana na uhusiano mzuri wa kirafiki uliopo baina yao. Wafuatilie kwenye kurasa zao za kijamii FACEBOOK, TWITTER @
Mpoki na Joti.
MZEE ONYANGO NA MZEE MWITA,
hawa wakongwe wa sanaa ya maigizo, ‘story’ tulizokuwa nazo ni kuwa
waliishi pamoja maeneo ya Kawe jijini Dar, kabla umaarufu haujawakuta.
JAFFARHYMES na JAY MOH, hata ‘collabo’ zao
zinaonyesha urafiki baina yao ambapo ‘walishaskuli’ pamoja na wote
walishachangia katika ukuaji wa sanaa hapa nchini, ingawa sasa wamepotea
kwa sababu ya binafsi.
LORD EYES NA G-NAKO,
miamba kutoka Kaskazini waliowahi kupoteana na kukutana, hatimaye
kuzalishwa kwa kundi la Hip Hop ambalo hadi sasa bado linatamba.
NGWEA, NOORAH, DARK MASTER na MEZ B walisoma wote Dodoma na kuunda kundi moja toka pande hizo lililokimbiza sana mwanzoni mwa karne ya ishirini na moja.
NGWEA, NOORAH, DARK MASTER na MEZ B walisoma wote Dodoma na kuunda kundi moja toka pande hizo lililokimbiza sana mwanzoni mwa karne ya ishirini na moja.
Rich one, Chidi Benz,Solo Thang na Mh. Temba.
MH. TEMBA kutoka ‘kiumeni’ amesoma shule na Solo
Thang, Rich one, Chidi Benz, Soggy Doggy, marehemu Kanumba na Dazz Baba
katika shule ya Sekondari ya Jitegemee iliyoko Temeke, Dar es Salaam.Baadhi ya wachezaji waliowahi kusoma wote Shule ya Sekondari Makongo ni pamoja na Juma Kaseja, Mussa Mgosi, Nico Nyagawa, Jerry Tegete, Haruna Moshi, Yahaya Akilimali, Kandole Justine, Aaron Nyanda, Ali Mayai, Muhaji Kampala, Mohamed Banka, Adam Matunga, Jemedary Said, Majuto Komu, Aman Simba, Ngawina Ngawina.
Posted by Mr.Prime on August 20, 2014


















