Kushoto ni Mhariri Mtendaji wa New Habari Cooperation, Absalom Kibanda, akiwa na Agustino Ramadhani nyumbani Makame.
MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi
(NEC), Jaji Mstaafu, Lewis Makame, utaagwa siku ya Ijumaa asubuhi
nyumbani kwake Masaki, na baadaye kupelekwa katika kanisa la Mtakatifu
Alban, Upanga, jijini Dar es Salaam kwa maombi na kisha kusafirishwa
kuelekea Pongwe, Mkoani Tanga kwa ajili ya mazishiPosted by Mr.Prime on August 19, 2014
0 comments
Post a Comment