MAWIFI WAITIKISA NDOA YA CATHY

Posted by Posted by Unknown On 23:37


                                   
Stori: Gladness Mallya
NDOA ya msanii mkongwe wa filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ ipo katika mtikisiko mkubwa kufuatia
mawifi zake kumpenda zaidi mwanamke aliyezaa na mumewe kabla hajaolewa.
 
Msanii mkongwe wa filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’.
Chanzo makini kinasema Cathy yupo katika wakati mgumu kwani amesimama na mumewe tu na hakuna hata wifi mmoja ambaye anamkubali, bali wote wameelekeza nguvu kwa mwanamke huyo na mara nyingine huwa wanamchukua kumpeleka nyumbani kwao Morogoro.
 
‘Cathy’ akipozi.
Cathy alipopatikana alikiri na kusema hata hivyo hao mawifi wanajisumbua bure kwani hawezi kuachika kwa ajili yao, kwa sababu mumewe Rupia anampenda sana labda siku apende yeye mwenyewe na hata akiamua kuachika mumewe hawezi kurudia matapishi, atachukua kitu cha ukweli.
                                            Posted byMr.Prime on August 20, 2014

0 comments

Post a Comment