RAPPA, mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mwigizaji kutoka Marekani aliye
chini ya lebo ya Young Money Entertainment, Onika Tanya Maraj 'Nicki
Minaj' leo ameachia rasmi video ya
wimbo wake mpya uitwao ‘Anaconda’
baada ya kuufanyia promo ya kutosha katika mitandao mbalimbali.
Posted by Mr.Prime on August 20, 2014
0 comments
Post a Comment